Yaya Toure amethibitisha
kuwa ataendelea kukipiga Manchester City msimu ujao.
Kiungo huyo ametanabaisha kuwa anafuraha na heshima kuendelea kuwepo Etihad pamoja na kuwepo na uvumi wa kuhamia timu ya Inter Milan ya Italy.
Kiungo huyo mwenye miaka 32 bado anaonekana ana nguvu za kuendelea kukitumikia kikosi hicho kilichomaliza nafasi ya pili katika EPL.
Manchester United imevutiwa na kutaka
kumsaini mchezaji kiungo wa Southampton Morgan Schneiderlin.
Kiungo huyo mwenye miaka 25 ni mmoja ya viungo waliocheza vizuri msimu uliomalizika kwenye Ligi Kuu Ya Uingereza.
Pia timu za Arsenal na Tottenham zimeonyesha nia ya kupata huduma ya kiungo huyo lakini duru za kimichezo zinatoa nafasi kwa united kumpeleka Old Trafford.
Southampton wamesema thamani ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa ni Euro milioni 25.
Klabu ya Arsenal imeripotiwa kumtaka mlinzi wa klabu ya
Sporting Lisbon ya Ureno Cedric Soares kwa ada ya £5m.
Mlinzi huyo Mreno mwenye umri wa miaka 23 amekataa kusaini mkataba mpya hivyo kuiweka klabu ya Arsenal kuweza kumsaini wakati dirisha la usajili litakapofunguliwa.
Klabu ya Liverpool iko mbioni kukamilisha usajili wa
nyota wanne kwa ajili ya kuongeza nguvu katika kikosi hicho.
Nyota wanaowindwa na klabu hiyo ni Christian Benteke, Nathaniel Clyne, James Milner na Danny Ings.
Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameripotiwa kutaka kurudi katika klabu yake ya Atletico Madrid kufuatia kuchoshwa na maisha ya England hasa chakula,lugha na hali ya hewa.
Kocha Raphael Benitez ameonyesha nia ya kumtaka mlinda mlango Pepe Reina kama chaguo la pili katika klabu ya Real Madrid.
Lionel Messi anamtaka mchezaji mwenzake wa timu ya Taifa ya Argentina,Lavezzi wa PSG ajiunge naye katika klabu ya Barcelona.
Meneja wa Chelsea,Jose Mourinho amemwambia mmiliki Roman Abramovich amsaini nyota wa Borussia Dortmund,Marco Reus.
Klabu hiyo ya Stamford Bridge imemuweka mjerumani huyo kuwa ndiyo pendekezo lao kubwa.
Klabu ya Barcelona itaachana na Nike kama watengenezaji wao au wadhamini wa jezi ifikapo mwaka 2018 au kabla ndani ya 2015.
Kampuni kutoka Marekani 'Under Armour' inahusishwa kuja kuwa watengenezaji wapya wa jezi za Barca.
Juventus wamegundua kwamba gharama ya kumnunua Xherdan Shaqiri wa Bayern Munich ni kubwa sana hivyo watahamishia lengo lao kwa kumsajili Wesley Sneijder kutoka Galatasaray
Klabu hiyo ya Stamford Bridge imemuweka mjerumani huyo kuwa ndiyo pendekezo lao kubwa.
Klabu ya Real Madrid inataka kumsajili Ramadel Falcao kwa gharama yoyote na watamuuza Karim Benzema kwa Liverpool ili wamsainishe raia huyo wa Colombia.
Klabu ya Barcelona itaachana na Nike kama watengenezaji wao au wadhamini wa jezi ifikapo mwaka 2018 au kabla ndani ya 2015.
Kampuni kutoka Marekani 'Under Armour' inahusishwa kuja kuwa watengenezaji wapya wa jezi za Barca.
Newcastle inajiandaa kukataa ofa ya kiasi cha pauni milioni 9 kutoka kwa Arsenal kwaajili ya
kiungo Moussa Sissoko.
kiungo Moussa Sissoko.
Mabata weusi hao wanatazamia kumbakiza mchezaji huyo mwenye umri wa mika 25 licha ya meneja Alan Pardew kusemekana kutaka kuondoka kwenda Crystal Palace.
Arsenal wanatazamia kutaka kupata saini ya kiungo wa Atletico Madrid,Mario Suarez wakati Arsene Wenger akiwa na dhumuni la kuboresha kikosi chake katika kuwania kumaliza nne bora.
Suarez anataraji kuondoka mwezi Januari.
Suarez anataraji kuondoka mwezi Januari.
Real Madrid wapo tayari kutengeneza ofa nono kwa Marco Reus mara baada ya adhabu ya Barcelona ya kutokusajili kuwazuia kuingia katika mbio za kuwania saini ya nyota huyo wa Borussia Dortmund.
.
.
Juventus wamegundua kwamba gharama ya kumnunua Xherdan Shaqiri wa Bayern Munich ni kubwa sana hivyo watahamishia lengo lao kwa kumsajili Wesley Sneijder kutoka Galatasaray
you done good but I'm probably e
ReplyDelete