Ilkay Gundogan ambaye anacheza sehemu ya kiungo amekubaliana mambo ya msingi ya kuichezea klabu hiyo.
Gundogan anatarajiwa kutangazwa na Manchester united kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo.
Ifahamike ya kwamba wiki iliyopita Gundogan alifanya mazungumzo na klabu mbili ambazo ni Bayern Munich ma Barcelona.
Lakini muda mchache uliopita taarifa zimejiri kwamba pande mbili kati ya Gundogan na Man United wameafikiana.
0 comments :