Klabu ya soka ya Yanga inafukuzia huduma ya mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe anayeichezea klabu ya FC Platnum, Donald Ngoma.
Mshambuliaji huyo kwenye picha (mwenye jezi ya rangi ya pundamilia) anahusishwa na mipango hiyo ya kutua Jangwani.
Mshambuliaji huyo kwenye picha (mwenye jezi ya rangi ya pundamilia) anahusishwa na mipango hiyo ya kutua Jangwani.
Kocha wa Yanga,
Mholanzi Hans Pluijm, ambaye alithubutu kusema Didier Kavumbagu wa nini
wakati unaweza kuwa na mtu kama huyu (Ngoma).
Yanga ikifanikiwa kumnasa mshambuliaji huyo, itakuwa imefanikiwa kujiimarisha vyema katika eneo la ushambuliaji kwenye timu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Jangwani.
0 comments :