Tangaza hapa

e

Featured Posts

Thursday, 4 June 2015

Rafael Benitez atambulishwa rasmi Madrid.

Unknown     16:46    




 Klabu ya Real Madrid imemtangaza rasmi kocha wake mkuu baada ya kumuachisha kazi Muitaliano, Carlo Anceloti siku chache zilizopita.

Rafa Benitez jana alitambulishwa rasmi klabuni hapo,lakini kitu kimoja kilivutia mno tofauti na matarajio ya wengi.


Meneja huyo wa zamani wa Valencia, Liverpool, Chelsea, Inter Milan na Napoli amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuitumikia klabu hiyo.

Rais wa klabu hiyo,Florentino Perez aliongeza kuwa Benitez ni 'mtu sahihi katika klabu hii kwani ana taaluma ya mpira wa miguu pia ana maadili ambayo  klabu yetu inahitaji'.

Mataji ambayo Benitez amechukua akiwa na vilabu tofauti

1 x Champions League (2005 with Liverpool)
1 x Club World Cup (2010 with Inter)
1 x European Super Cup (2005 with Liverpool)
2 x Europa League (2004 with Valencia and 2013 with Chelsea)
2 x La Liga (2002 and 2004 with Valencia)
1 x FA Cup (2006 with Liverpool)
1 x Coppa Italia (2014 with Napoli)
2 x Italian Super Cups (2010 with Inter and 2014 with Napoli)
1 FA Community Shield (2006 with Liverpool)

0 comments :

Top headlines

© 2011-2014 MICHEZONI. Designed by Alfred Meshack Bloggertheme9. Powered by Blogger.