Real Madrid inataka kumuuza mshambuliaji wake Karim Benzema mwenye umri wa miaka 27 kwenda Manchester United katika jitihada za kuongeza kasi ya kupata saini ya kipa David De Gea mwenye umri wa miaka 24. (AS English)
Tottenham imejiunga katika mbio za kuwania saini ya mshambuliaji wa Aston Villa, Christian Benteke kwa ada ya £ 20m.
Lakini kwenye mkataba wake kuna kifungu kinachodai kwamba mchezaji huyo ataweza kuuzwa kwa £ 32.5m kama timu yoyote ikimhitaji.
Mshambuliaji huyo pia anawindwa na klabu za Liverpool na Chelsea zote za England (The Sun)
Manchester City wanaangalia uwezekano wa kuanza harakati za kumfuatilia kiungo wa Bayer Leverkusen, Lars Bender, 27 kama itashindwa kupata saini ya kiungo wa Juventus, Paul Pogba(Mirror).
Arsenal imeongeza kasi ya kuhitaji saini ya mshambuliaji kutoka Colombia, Jackson Martinez,28 kwa dau la £ 25.7m baada ya Porto kukataa ofa kutoka Atletico Madrid (Metro).
Timu iliyopanda daraja ya Norwich City inawania saini ya winga wa Hull City, Robbie Brady, 23. (Hull Daily Mail)
Meneja wa Crystal Palace, Alan Pardew anataka kuwasajili Loic Remy kutoka Chelsea na Yohan Cabaye kutoka PSG. (Daily Express)
Sunday, 7 June 2015
Angalia hapa tetesi za usajili zilizojili hii leo kwenye magazeti ya Ulaya.
Unknown
15:04
Like on Facebook
Popular Posts
Blog Archive
-
►
2017
(1)
- ► 08/20 - 08/27 (1)
-
►
2016
(2)
- ► 09/25 - 10/02 (1)
- ► 02/14 - 02/21 (1)
-
▼
2015
(105)
- ► 11/01 - 11/08 (1)
- ► 10/25 - 11/01 (1)
- ► 09/06 - 09/13 (1)
- ► 08/09 - 08/16 (2)
- ► 08/02 - 08/09 (2)
- ► 07/26 - 08/02 (1)
- ► 07/19 - 07/26 (3)
- ► 07/12 - 07/19 (2)
- ► 06/21 - 06/28 (1)
-
▼
06/07 - 06/14
(9)
- Simon Msuva kutoka 'KUDANSI ' THT hadi kuwakimbiza...
- Angalia hapa tuzo zote zilizotolewa jana na bodi y...
- Donaldo Ngoma kutua rasmi Yanga
- Angalia hapa wachezaji walioachwa na vilabu vya EP...
- Manchester United ndio klabu yenye thamani kuliko ...
- Kauli ya David De Gea kuhusu Manchester United na ...
- Xavi atabiri nani atakua mkali wa dunia baada ya M...
- Angalia hapa tetesi za usajili zilizojili hii leo ...
- Barcelona yatwaa kombe la UEFA kwa mara ya tano ik...
- ► 05/31 - 06/07 (6)
- ► 05/24 - 05/31 (9)
- ► 05/17 - 05/24 (5)
- ► 05/10 - 05/17 (7)
- ► 05/03 - 05/10 (5)
- ► 04/26 - 05/03 (9)
- ► 04/19 - 04/26 (8)
- ► 04/12 - 04/19 (5)
- ► 04/05 - 04/12 (4)
- ► 03/29 - 04/05 (5)
- ► 03/22 - 03/29 (12)
- ► 03/15 - 03/22 (6)
- ► 02/15 - 02/22 (1)
0 comments :