Timu ya soka ya Prisons ya Mbeya imeifunga timu ya Coastsl Union ya Tanga 1-0 katika uwanja wa nyumbani wa Mkwakwani Tanga.
Kufuatia matokeo hayo Prisons imejipa matumaini ya kuweza kukwepa kushuka daraja licha ya kuendelea kushikilia mkia kwenye msimamo wa Vodacom Tanzania Bara.
Matokeo mengine ya VPL jionee hapa chini.
0 comments :