Tangaza hapa

e

Featured Posts

Sunday, 2 August 2015

Habari za usajili zilizotamba hii leo barani Ulaya ni hizi hapa.....

Unknown     12:32    

Klabu ya Manchester United imesema kwamba haitachoka kuifukuzia saini ya mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth Bale, 26  licha ya timu hiyo ya Hispania kutaka ada ya uhamisho itakayovunja rekodi ya £ 86m ili kumchukua mchezaji mchezaji huyo.

0 comments :

Top headlines

© 2011-2014 MICHEZONI. Designed by Alfred Meshack Bloggertheme9. Powered by Blogger.