Real Madrid imebakia nafasi ya kwanza kama timu tajiri zaidi duniani kwa mwaka wa tatu mfululizo.
Manchester United kwa karibu
wamewafuata Barca kwa kuwa na utajiri mkubwa wa £
2.03bn, ambao utajiri wake umekuw ukipanda na kushuka.
Manchester City, Chelsea,
Arsenal na Liverpool navyo vimeingia katika orodha hiyo.
Wakati huo huo
Chelsea, ambayo siku ya Jumapili ya wiki iliyopita ilichukua ubingwa wa EPL,ina thamani ya £ 898m.
Kwenye Bundesliga,Bayern
Munich, ambao walishinda taji la Ujerumani kwa miaka mitatu iliyopita na pia
lile Ligi ya Mabingwa mwaka 2013, ni ya nne ikiwa na utajiri wa £ 1.54bn.
0 comments :