Juventus walipata ubingwa wao wan ne mfululizo jana baada ya ushindi wao wa gol 1-0 dhidi ya Sampdoria.
Viongozi hao wa ligi walikua na pointi 14 zaidi ya timu inayofuatia nyuma yao ya Lazio na shukrani za nguvu zinapelekwa kwa Artulo vidal baada ya kufunga bao safi la kichwa dakika ya 32 na huku akiendelea kuonyesha kiwango bora kabisa.
Presha ya Juventus vibibi vya Turin wataihamishia katika kombe la klabu bingwa Ulaya ambapo wana mchezo wa nusu fainali dhidi ya Real Madrid na kocha Massimiliano Allegri aliwapumzisha baadhi ya nyota wake kuelekea mchezo huo
Tuesday, 5 May 2015
Juventus yatwaa ubingwa wa Italy kwa mara ya nne mfululizo
Unknown
07:51
Like on Facebook
Popular Posts
Blog Archive
-
►
2017
(1)
- ► 08/20 - 08/27 (1)
-
►
2016
(2)
- ► 09/25 - 10/02 (1)
- ► 02/14 - 02/21 (1)
-
▼
2015
(105)
- ► 11/01 - 11/08 (1)
- ► 10/25 - 11/01 (1)
- ► 09/06 - 09/13 (1)
- ► 08/09 - 08/16 (2)
- ► 08/02 - 08/09 (2)
- ► 07/26 - 08/02 (1)
- ► 07/19 - 07/26 (3)
- ► 07/12 - 07/19 (2)
- ► 06/21 - 06/28 (1)
- ► 06/07 - 06/14 (9)
- ► 05/31 - 06/07 (6)
- ► 05/24 - 05/31 (9)
- ► 05/17 - 05/24 (5)
- ► 05/10 - 05/17 (7)
- ▼ 05/03 - 05/10 (5)
- ► 04/26 - 05/03 (9)
- ► 04/19 - 04/26 (8)
- ► 04/12 - 04/19 (5)
- ► 04/05 - 04/12 (4)
- ► 03/29 - 04/05 (5)
- ► 03/22 - 03/29 (12)
- ► 03/15 - 03/22 (6)
- ► 02/15 - 02/22 (1)
0 comments :